Kasomi
JT Founder
Benjamin Fernandes (amezaliwa 25 Novemba 1992) ni mjasiriamali wa Tanzania aliyewahi kuwa mtangazaji wa runinga.
Alifanya kazi katika kampuni ya The Bill and Melinda Gates Foundation iliyopo nchini Marekani.
Alikuwa Mtanzania wa kwanza kusoma Stanford Graduate School of Business kama Africa MBA Fellow na mdogo kabisa kiumri kukubaliwa katika chuo cha Stanford Graduate School of Business.
Mnamo mwaka 2017 alifanikiwa kuwa Mtanzania wa kwanza kujiunga na masomo katika chuo cha Stanford Graduate School of Business na pia Harvard John F. Kennedy School of Government.
Fernandes ni mwanzilishi wa NALA, jukwaa la kidigitali nchini Tanzania linalowezesha watu kufanya miamala ya kifedha bila kuuunganishwa kwenye mtandao maarufu kama intaneti.
NALA inakuwa kwa kasi ambapo imeendelea kuwa katika nchi kadhaa Afrika na nje ya Africa
====
"Benjamin Fernandes is a Tanzanian technology entrepreneur and the founder of NALA —a cross-border money transfer service to reduce the costs of sending money from the Europe to East Africa, starting with the UK. NALA is backed by leading US Venture Capital firms including Y-Combinator and Accel Partners.
Previously, Mr. Fernandes worked at the Bill and Melinda Gates Foundation, before moving back home to start NALA - where they initially built a personal finance app that scaled to over 250,000 customers in Tanzania and Uganda.
Mr. Fernandes holds an MBA from Stanford Graduate School of Business and an Exec Ed. from Harvard Kennedy School of Government."