Recent content by FUTURE PRESIDENT

  1. F

    Lissu ahukumiwa Miaka Minne jela

    Je wazalendo wanausalama wa taifa hili watakubali taifa letu lichezewe hivi!! Hope wata respond kwa destabilization ya regime
  2. F

    JamiiTalk wishes you Merry Christmas

    You too!!have a nice Christmas and happy New year!
  3. F

    Kwanini umuingize mwanao pekee wa kiume kwenye vita vya kimafia dhidi ya maadui wako kisiasa !?

    Huwa na mwemheshim Sana Baba wa taifa Mwl nyerere kuiweka mbali familia yake na purukushani za kisiasa!alijua madhara ya kuwaweka wanawe kwenye battle line ya kisiasa dhidi ya maadui zake!! Mtia Nia was Sasa WA chama chetu kamuingiza mwanawe pekee wa kiume kwenye mapambano ya kisiasa na kimafia...
  4. F

    NASIKIAA.....KUNA UKWELI WOWOTE???

    Ikithibitika humphrey hatunae,Damu yake ni nzito sana huyo jamaa kwenye Kuta za kijasusi za taifa lazima Kuna jambo watafanya walioondokewa!! Nilisoma sehem kwamba alikua "head of the mission untill 2027" he wahusika watampata mbadala wa pole pole au mission Yao ishafeli!!?au polepole ndio...
  5. F

    NASIKIAA.....KUNA UKWELI WOWOTE???

    Kama ni jk!sio kweli!!mzushi tu yule!
  6. F

    Wanawake wanauwezo wa kunusa Wanaume ambao wapo Singo

    Wananusa!!aiseh! Mi nadhani wananusa wenye hela!hebu kuwa na level ya testosterone ya juu zaidi huna Hela kama watanusa jasho lako!
  7. F

    Mahojiano: Lissu Ambana kwa Maswali Shahidi wa Serikali

    Kesi ya lisu haitofautiani na ile ya Mbowe zote zina idhalilisha jamuhuri kwamba Haina watu competent na hawatoshi kwenye nafasi zao!! Walau ku balance na ku spin kupotea kwa Humphrey pole pole ambayo ni blunder nyingine na uvivu wa kufikiri ni Bora wamwachie Lisu kupoza upepo Kwa sasa!! Ishu...
  8. F

    Je, JWTZ imejibu Hoja Ya Captain Tesha?

    Tayari Humphrey Kisha salitiwa na yule mzee huoni kwamba na yeye atasalitiwa!!?
  9. F

    Njia panda: Nimeolewa na Wanaume wawili wote hawajuani

    Hongera kumiliki mipini miwili!! Wanawake na Siri zao!
  10. F

    Kurasa za Mitandao ya Kijamii ya Polepole zafungwa

    Yaani Balozi mstaafu anatekwa!!!?Ina maana wahuni wanaweza kumteka hats pm na namba Moja mstaafu!!? Huu ndio utu unaosemwa kwenye kauli mbiu ya mwaka huu!!?
  11. F

    HATUA ZA KUPATA MWENZA WA MAISHA

    Hayaeleweki,hayana uhakika!hakuna ku predict chochote
Back
Top