Recent content by Niajiri Platform

  1. Niajiri Platform

    Je ni kazi ya namna gani unatafuta?

    Imegundulika vijana wengi wanalalamika kwamba hamna kazi lakini kazi zikitangazwa wanaotuma maombi ni wachache, je tatizo unakuta nini?
  2. Niajiri Platform

    Curriculum Vitae na Resume

    This is brilliant
  3. Niajiri Platform

    Curriculum Vitae na Resume

    ungeeleza kidogo zinatumikaje
  4. Niajiri Platform

    Curriculum Vitae na Resume

    Nani anafahamu tofauti ya maneno haya?
  5. Niajiri Platform

    Presenting Niajiri Platform

    Habari wanajamii talk, tunafurahi sana kujumuika nanyi katika platform, sisi tunatoa mafunzo na tathmini mbalimbali ya kikazi na kiujasiriamali kupitia mtandao wetu www.niajiri.co.tz tutakua pamoja katika jamii hii ukiwa na swali lolote kuhusu kazi na ujasiriamali au swali lolote la kimaisha...
Back
Top