*MAADA: "Kupenda au kutumiwa? Jinsi ya kujua tofauti"*
Nimekaa nikawaza jana usiku...
Tuna watu wengi kwenye maisha yetu ambao wanakula wakati wetu, pesa yetu, na nguvu zetu. Lakini tunawaita "wapenzi".
*Ishara 3 za mtu anakutumia:*
1. Anakumbuka wewe tu anapohitaji kitu - pesa, ushauri, au...