Sisi ni kampuni ya ICT inayotoa huduma za intaneti kwa kushirikiana na mitandao mikubwa kama Airtel, Vodacom, na Yas. Tunauza vifaa bora kama router za 5G na Pocket Wi-Fi, na pia tunasaidia watu kuanzisha biashara za kuuza intaneti kwa njia ya vocha.
Huduma zetu ni pamoja na usajili wa vifaa kwa kutumia NIDA na ufungaji wa kitaalamu (installation) ambao tunatoa bure kwa wateja wetu. Pia, tunatoa ushauri wa intaneti ili uweze kupata kifurushi cha *unlimited* kinachokufaa kwa mwezi mzima.
Je, unahitaji intaneti kwa ajili ya matumizi ya nyumbani, ofisini, au unataka kuanzisha biashara ya kuuza intaneti?
+255 (0) 766 211 011