Wewe umeangilia Russia peke yake? Vipi china , india, indonesia? n.k lakini pia Russia wanawake ni wengi kwa sababu ya higher mortality rate ya wanaume kwenye umri mdogo lakiji ukihesabu chini ya miaka 29 utakuta wanaume niwengi kuliko wanawake Russia , nahisi vita navyo vinachangia