kampuni ya huduma za mawasiliano ya Airtel yawa ya kwanza kuzindua huduma ya kadi za eSIM Tanzania kwa wateja wake. eSIM (SIM iliyopachikwa) – ni mfumo wa kidijitali unaomuwezesha mtumiaji wa simu kupata huduma za mawasiliano bila kupachika laini kwenye simu. Unaweza kusoma zaidi kuhusu mfumo...