Search results

  1. S

    Baada ya mipango ya majasusi kufeli ,tutarajie option ipi kati ya hizi!!?

    Inaumiza sana hii..! Nchi inaendeshwa kwa hisia?? Ata wasanii wanawazidi viongozi kuwa na vifua wanatukanwa mangapi wananyamaza…😥
  2. S

    JamiiForums yapigwa stop siku 90 na TCRA

    Dahh kumbe watu wachache tu wanaweza kuitikisa nchi vile! Kwaio ni uoga wetu tu kumbe mambo yanawezekana kabisa! Uhuru ndio haupo! Na kweli ngoja waje…!
  3. S

    JamiiForums yapigwa stop siku 90 na TCRA

    Mungu atutetee..😟
  4. S

    JamiiForums yapigwa stop siku 90 na TCRA

    Mungu atutetee..😟
  5. S

    JamiiForums yapigwa stop siku 90 na TCRA

    Yaani bado siamini 😰 Nimejisikia vibaya sana! Nilikuwa naona kama utani ila haya mambo yako very serious!sielewi tunaelekea wapi jamani, tunaangamia vibaya sana! sijawahi kuwa mpenzi wa siasa ila hili jambo linaumiza nyie..! Kesho tukienda kusali tuliombee sana taifa letu🥺😰
Back
Top