Mtuhumiwa wa Mauaji ya Tupac Shakur, Duane Davis 'Keffe D' ameongea kwa mara ya kwanza akiwa gerezani baada ya kukamatwa 2023 akisema hana hatia na anataka kuwa uraiani.
Keffe D anasema kesi hiyo ya muda mrefu imekua haina ushahidi mathubuti imemsababishia kusimamisha shughuli zake baada ya...