act

  1. Kasomi

    ACT Wagomea Maamzi ya Msajili wa vyama vya Siasa kuhusu uhalali wa Mpina

    UCHAGUZI2025 Chama cha ACT Wazalendo kimetoa taarifa kwamba kimepokea taarifa kutoka kwa Msajili wa vyama vya siasa kuwa amemtengua mgombea wa Urais kupitia chama hicho Luhaga Mpina, Hata hivyo licha ya kusisitiza kuwa ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa chama hicho inapitia kwa umakini hatua ya...
Back
Top