Kikawaida binadamu ana tezi inaitwa "Adrenal grand" ambayo huzalisha homoni mbali mbali.....
Miongoni mwa homoni hizo ni "adrenaline" ambayo kazi yake kubwa ni kuamsha hisia kwenye mwili.
Hisia zinaweza kuwa kuhisi hatari, ko ile homoni inamwagwa mwilini kuuandaa mwili kupambana na hatari hiyo...