Google Adense ni nini
Kwanza tuanzie mbali kidogo, kama wewe ni mgeni lazima unajiuliza Google Adsense ni nini..? Adsense au Google Adsense hii huduma ambayo inatolewa na Google kwajili ya wabunifu wa mauthui mtandaoni pamoja na wabunifu wa programu na tovuti kuweza kupata pesa kutokana na kazi...