Ifahamu Hospitali ya Roma inayomtibu Papa Francis
Nje ya hospitali ya Gemelli mjini Roma kuna sanamu kubwa ya mmoja wa wagonjwa wake maarufu, Papa Yohane Paulo II (John Paul II).
Imetengenezwa kwa marumaru nyeupe ya Carrara, inaonyesha papa katika miaka yake ya mwisho ya maisha yake akiwa...