Advertise here

aiba

  1. Kasomi

    Kijana mwenye umri wa miaka 15 aiba basi kumpeleka mpenzi wake shuleni

    Shirika la usafiri wa umma mjini Wiesbaden, magharibi mwa Ujerumani, limeitaka polisi kumshtaki kijana wa miaka 15 aliyedaiwa kuiba basi na kumpeleka mpenzi wake umbali wa kilomita 130 hadi shuleni mjini Karlsruhe. Mkuu wa kampuni ya mabasi ya NVG, Jörg Martini, aliliambia shirika la habari la...
  2. Kasomi

    Aiba Mafuvu Zaidi ya 100 ya Binadamu Makaburini

    Mwanaume mmoja Nchini Marekani, Jonathan Gerlach (34) amekamatwa na kushtakiwa kwa makosa zaidi ya 300 yakihusisha wizi wa zaidi ya Mafuvu 100 ya Binadamu pamoja na vito vya thamani vilivyoibwa katika Makaburi ambapo tukio hilo limeripotiwa kutokea katika Makaburi ya Mount Moriah mjini...
Back
Top