Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) limetangaza nafasi 173 za ajira, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kulipanua na kulipa nguvu zaidi shirika hilo ndani na nje ya Afrika.
Kulingana na tangazo hilo, nafasi zilizopo ni pamoja na marubani wakuu 23, marubani wasaidizi 45, wahudumu wa ndege 100 (ikiwemo...