HABARI Mwandishi wa habari wa Al Jazeera Anas al-Sharif ameuawa pamoja na wenzake wanne katika shambulio lililolengwa na Israel dhidi ya mahema ya waandishi wa habari katika mji wa Gaza.
Katika shambulio lililofanywa jana Jumapili jioni dhidi ya hema lililoko nje ya lango kuu la hospitali ya...