MAMBO 10 USIYOYAJUA KUHUSU ALKAABA
Ukweli ni kuwa ALKAABA ni sehem takatifu zaidi juu ya mgongo wa ardhi.
1. Mji wa #Makka ni moja ya miji inayotembelewa zaidi duniani na wageni wengi kwa mwaka, katika msimu wa #Hijja pekee unatembelewa na wastan wa mahujaj milioni moja na nusu achilia mbali...