Shebby aliona kwenye Facebook post inayosema:
"Matikiti yanalipa sana, ukiweka 1M unapata 2M – faida ya 100%!"
Kwa imani hiyo, alishauriwa na mtu aweke 2M ili apate 4M.
Mwanaume akaamini. Akawekeza: akalima, akapalilia, akapiga dawa, akajituma kweli.
Msimu wa mavuno ukafika – matikiti...