Advertise here

android

  1. Kasomi

    Softwares za Kuaminika zisizo na Viruses zinapatikan kwenye Tovuti hii

    Ikiwa Una Laptop au Computer na hufahamu wapi Utapata Softwares za Kuaminika zisizo na Viruses, Elekea: Kwa Windows: ✅ https://en.uptodown.com/windows Kwa MacOS: ✅ https://en.uptodown.com/mac Kwa Android: ✅ https://en.uptodown.com/android Note: Tools na Softwares zote zinazopatikana katika...
  2. Kasomi

    Google imelazimishwa iuze browser yake ya Chrome na kuwekewa vikwazo vya kumiliki Android

    Idara ya Sheria ya Marekani (DoJ) imependekeza kwamba Google iuze browser yake ya Chrome na kuwekewa vikwazo kwenye mfumo wa Android kama sehemu ya mpango wa kuivunja na kuipunguza nguvu kampuni ya Google/Alphabet. Uamuzi huu unakuja baada ya jaji wa shirikisho kuamua kuwa Google ni kampuni ya...
Back
Top