anga

  1. Kasomi

    Ifahamu Kamandi ya Anga ya Jeshi la Wananchi Tanzania JWTZ

    Tanzania Air Force Kamandi ya Jeshi la Anga ni moja ya Kamandi muhimu zinazounda Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania kiutendaji, kivita na kiutawala. Kamandi ya Jeshi la Anga inayo majukumu ya ziada ya msingi katika kutimiza wajibu wake wa ulinzi wa Anga la Tanzania. Kamandi hiyo inao...
  2. Kasomi

    Qatar yafunga anga kwa Muda kujihami

    Serikali ya Qatar imesema imefunga anga lake kwa muda kama sehemu ya hatua zinazochukuliwa kufuatia matukio yanayoendelea katika eneo la Mashariki ya Kati. Kwa mujibu wa taarifa ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Qatar iliyochapishwa kwenye X imeeleza kuwa hatua hiyo inalenga kuimarisha usalama wa...
Back
Top