I Played With All These Players Who Am I?
Kwa tafsiri ni kuwa Nilicheza na Wachezaji Hawa Wote Ambao je, Mimi ni nani?
Naam, basi moja kwa Moja mchezaji huyo si mwingine ni Angel Di Maria. Ndio mchezaji aliyewahi kubahatika kucheza na Mastaa wengi Timu moja kwa ngazi ya club na Timu ya Taifa...