Argentina inafikiria kuweza sura ya mshambuliaji Lionel Messi kwenye noti za Nchi hiyo baada ya mshindi huyo mara 7 wa Ballon d'or kuiongoza Argentina kutwaa kombe la Dunia 2022.
Kwa mujibu wa gazeti la El Financiero, maafisa wa bodi ya usimamizi wa fedha Nchini humo wanatafuta njia za kuuenzi...
Klabu ya Napoli leo imezindua sanamu la Diego Armandos Maradona ikiwa ni siku moja kabla ya kumbukizi ya siku ya kuzaliwa ya nguli huyo wa soka wa Argentina.
Uzinduzi huo ulifanyika muda mfupi kabla ya mchezo wa Ligi kuu Italia ambapo vinara hao wa Serie A wameshinda 4-0 dhidi ya Sassuolo.