asili

  1. J

    Mwanadamu na tabia ya asili

    Mwanadamu na tabia ya asili Tabia ya asili ni nini Tabia inaweza kuelezewa kama "kitu kinachofanyika mara nyingi, na hivyo, kwa kawaida hufanyika kwa urahisi, kitendo ambacho kinapatikana na kimetokea moja kwa moja". Sisi sote tuna tabia fulani, iwe nzuri au mbaya. Hata watoto wachanga wanaweza...
  2. Kasomi

    Historia Ya Wakurya Na Asili yao

    HISTORIA YA WAKURYA NA ASILI YAO Asili ya Wakurya ni Misri, walifika Congo kati ya 322 KK. Hapo zamani kulikuwa na mtu aliyeitwa monto, huyu ni mzazi wa wabantu wote. Monto alizaa Range miongoni mwa wanae, Range alizaa Magaiwa, Magaiwa alizaa, alimzaa Mkurya. Mkurya alizaa watoto watano...
  3. Kasomi

    Siku ya wajinga duniani (Foolish Day) huadhimishwa Aprili 1 kila mwaka

    Siku ya wajinga duniani -inayoadhimishwa Aprili 1 kila mwaka - imekuwa ikiadhimishwa kwa karne kadhaa na tamaduni tofauti, ingawa asili yake halisi bado ni siri. Mila ya Siku ya wajinga ni pamoja na kuwadanganya watu au kuwafanyia au utani wa vitendo mbalimbali. Wakati historia yake halisi...
  4. Kasomi

    Asili ya Al Kaaba undani wake

    Mji wa Makka ndio kitovu cha Uislamu duniani. Kwenye mji huu ndiko iliko Ka’aba, au kama wanavyoamini na kuiita Waislamu Bait – ul- Haram; au Bait – ul- Allah, yaani ‘nyumba ya Allah’ au ‘nyumba ya Mungu’. Na kila Mwislamu kokote duniani anatakiwa kuswali swala 5 kila siku huku akielekeza uso...
  5. Kasomi

    Fahamu historia, Asili na Tamaduni za Wachaga

    Wachagga (pia huandikwa Wachaga) ni kabila la watu wenye asili ya Kibantu (lakini pia mchanganyiko wa damu, hasa ya Kikushi) wanaoishi kaskazini mwa Tanzania chini ya mlima Kilimanjaro, mkoani Kilimanjaro. Wachagga ni kabila la tatu kwa ukubwa nchini Tanzania. Takwimu za mwaka 2003 zinaonyesha...
Back
Top