barani

  1. Kasomi

    Pope Leo XIV anatarajiwa kuanza ziara ya siku 10 barani Afrika kuanzia tarehe 13 Aprili

    Pope Leo XIV anatarajiwa kuanza ziara ya siku 10 barani Afrika kuanzia tarehe 13 Aprili, ikiwa ni safari yake ya kwanza ya kichungaji katika bara hilo tangu achukue uongozi wa Kanisa Katoliki, kwa mujibu wa taarifa ya Vatican. Katika ziara hiyo, atatembelea nchi za Algeria, Cameroon, Angola na...
  2. Kasomi

    Hizi ndizo lugha zinazozungumzwa zaidi barani Afrika

    Kulingana na ripoti ya UNESCO, kati ya lugha 1,500 na 3,000 (ikiwa ni pamoja na lahaja) zinazungumzwa kote barani Afrika. Hizi ni lugha zinazo ongoza kwa kuzungumuzwa zaidi Barani Afrika 1. Kiswahili Idadi ya wazungumzaji: zaidi ya watu milioni 230 wanazungumuza Kiswahili Afrika. Kiswahili...
  3. Kasomi

    Nchi 10 zenye watu wengi zaidi barani Afrika 2025

    NCHI 10 ZA AFRIKA ZENYE IDADI KUBWA YA WATU 1. Nigeria 🇳🇬 2. Ethiopia 🇪🇹 3. Egypt 🇪🇬 4. Democraric Republic of Congo 🇨🇩 5. Tanzania 🇹🇿 6. South Africa 🇿🇦 7. Kenya 🇰🇪 8. Sudan 🇸🇩 9. Uganda 🇺🇬 10. Algeria 🇩🇿 Chanzo: World Population Review
  4. Kasomi

    Mobutu Sese Seko Nkuku Ngbendu wa za Banga moja ya viongozi wa ovyo zaidi kuwahi kutokea barani Afrika

    Unamfahamu Mobutu Sese Seko Nkuku Ngbendu wa za Banga moja ya viongozi wa ovyo zaidi kuwahi kutokea barani Afrika, alitawala kwa mkono wa chuma Zaire (DRC ya sasa) akifanya ufisadi na anasa za kutisha akichezea fedha za umma na rasilimali za nchi Mobutu alijenga majumba ya kifahari na mahoteli...
  5. Kasomi

    Mataifa 5 tajiri na masikini zaidi barani Afrika 2025 - IMF

    Mataifa 5 tajiri na masikini zaidi barani Afrika 2025 - IMF Shirika la Fedha Duniani IMF limetoa orodha ya mwaka 2025 ya nchi tajiri zaidi na masikini barani Afrika. Kiwango hiki, ambacho kinajumuisha mataifa madogo kama vile Mauritius na Libya, kinatokana na usawa wa uwezo wa kununua (PPP)...
Back
Top