Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametangaza baraza jipya la mawaziri ambapo zipo sura mpya na wapo wa zamani ambao wamewekwa pembeni.
Waliowekwa pembeni na wizara zao walizoziongoza kwenye baraza lililopita ni aliyekuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati...
Msanii na mtangazaji maarufu, Oscar Oscar Jr, kwa kushirikiana na mkongwe wa muziki wa hip-hop nchini Tanzania, Joh Makini, hapo Jana waliachia wimbo wao mpya uitwao "Mniombee". Wimbo huu umefikishwa kwa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) jijini Dar es Salaam kwa ajili ya ukaguzi na kupata kibali...
Baraza la Mitihani Tanzania NECTA limetangaza kuanza kwa mitihani ya kidato cha Sita na Ualimu inayotarajiwa kuanza Kesho Jumatatu Mei 5, 2025 nchi nzima
Akizungumza na wanahabari Jijini Dar es salaam Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani nchini (NECTA) Dkt. Said Mohammed amesema jumla ya...
Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limevifungia vituo vya mitihani 24 sawa na asilimia 0.13 ya vituo vyote 17,935 vilivyofanya mtihani ambavyo vimethibitika kupanga na kufanya udanganyifu katika mtihani wa kumaliza elimu ya msingi 2022.
Vituo hivi vimefungiwa hadi Baraza litakapojiridhisha...