Kuoga maji moto au baridi? Fahamu athari zake kiafya
Katika msimu wa baridi kali, watu wengi hupambana na swali moja asubuhi: 'Je, nioge au nisioge?'
Ukishaamua kuoga, swali linalofuata hujitokeza: 'Je, nioge kwa maji ya moto au maji baridi?'
Watu wengi husema kwamba kuoga kwa maji ya moto...