Shirika la usafiri wa umma mjini Wiesbaden, magharibi mwa Ujerumani, limeitaka polisi kumshtaki kijana wa miaka 15 aliyedaiwa kuiba basi na kumpeleka mpenzi wake umbali wa kilomita 130 hadi shuleni mjini Karlsruhe.
Mkuu wa kampuni ya mabasi ya NVG, Jörg Martini, aliliambia shirika la habari la...
MY STORY; Ukisikia kufunzwa na ulimwengu basi mimi ndiyo ulimwengu mwenyewe! Mchumba wangu kaniacha kaenda kuoa wakati nimeenda kujifungua!
Baada ya kumaliza chuo sikuenda nyumbani, kuna kazi nilipata hivyo moja kwa moja nilianza kufanyakazi na tukaanza kuishi na mwanaume wangu ambaye...
Hapo jana siku ya tarehe 3/4/2022
Watu kadhaa wanahofiwa wamefariki dunia baada ya kutokea ajali iliyohusisha basi lijulikanalo kwa Jina la Geita Express kugongana uso kwa uso na lori aina ya Fuso lenye namba za usajili T 134 DXR katika eneo la Chinangali II Mkoani Dodoma.
Habari zaidi...