Taarifa iliyotolewa Jumatano ya Aprili 01, 2026 na Mamlaka ya udhibiti wa huduma za nishati na maji nchini (EWURA) imeainisha bei elekezi za mafuta kwa kila mkoa hapa nchini ambazo zitatumika kwa mwezi huu wa nne (April).
Wilaya ya Geita Petroli ni 4,020 na Dizeli ni 4,006 kwa lita moja...