Wakala wa mshambuliaji wa Yanga SC, Clement Mzize, Bi. Jasmine Razaq, ameikosoa vikali klabu hiyo kwa kile alichokiita kuwa ni “roho mbaya” baada ya kuzuiwa kwa mteja wake kujiunga na klabu ya Al Masry ya Misri, licha ya ofa nono iliyotumwa mezani.
Kwa mujibu wa Jasmine, Al Masry imetuma ofa ya...