bill za maji

  1. Kasomi

    Bei ya Unit moja ya Maji Arusha

    Hapa ni Bei ya unit ya Maji kwa mkoa wa Arusha. Kutoka Mamlaka ya Maji safi na usafir wa mazingira jiji la Arusha. Arusha urban Water supply and sanitation Authority (AUWSA) NB: Unit moja ya Maji ni sawa na Lita 1,000 za ujazo ambazo ni sawa na ndio kubwa 50 za Lita 20
Back
Top