Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kulwa Biteko, amefika katika Ofisi za CCM wilaya ya Geita majira ya saa 2:30 asubuhi hii kuchukua fomu ya kugombea ubunge wa Jimbo la Katoro, linalopatikana katika Mamlaka ya Mji Mdogo Katoro, Halmashauri ya Wilaya ya Geita.
Kulwa amepokelewa na Katibu wa CCM...