UZINDUZI WA MIONGOZO YA MIKOPO YA ELIMU: DIRISHA LA MAOMBI KUFUNGULIWA JUNI 15 HADI 31, 2025
Serikali imetangaza kuwa miongozo ya mikopo ya elimu kwa mwaka wa masomo 2025/2026 itapatikana katika lugha za Kiingereza na Kiswahili kwenye tovuti za Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia...