bondia

  1. Kasomi

    Mzaha mzaha tu Mandonga anauheshimisha mchezo wa ngumi Afrika Mashariki

    Anaandika Faida Potea Mzaha mzaha tu Mandonga anauheshimisha mchezo wa ngumi Afrika Mashariki Miaka miwili iliyopita ungemwambia Karim Mandonga ‘Mtu kazi’ bondia mwenye maneno na mbwembwe nyingi wa Tanzania kwamba, angekuwa kwenye ulingo katika nchi ya ughaibuni anapigana, asingekukubalia...
Back
Top