ANAANDIKA BONGO ZOZO "BALOZI WA UTALII TANZANIA".
Kutokana na hali ya uvunjifu wa amani na kupotea kwa utu nchini Tanzania, nimeamua kujiuzulu rasmi katika nafasi yangu ya Balozi wa Utalii.
Nimesikitika sana kuwaangusha Watanzania kwa ujumla, pamoja na ndugu yangu aliyeniteua, Mheshimiwa...