HABARI Mwanachuo wa mwaka wa tatu wa chuo kikuu cha Tumaini Dar es Salaam, Emmaus Kajura, amekutwa amefariki dunia bafuni kwa kujinyonga na kamba ya mtandio.
Taarifa za kifo cha Emmaus zimethibitishwa na uongozi wa serikali ya wanafunzi wa chuo hicho, ingawa sababu za kifo chake bado...