Mwanamuziki maarufu wa Brazil, Ludmilla, na mkewe Brunna Gonçalves wote wawili wakiwa ni Wanawake wamefanikiwa kupata mtoto wao wa kwanza wa kike, aliyezaliwa tarehe 14 Mei 2025 huko Miami, Marekani. Mtoto huyo amepewa jina la Zuri.
Wenzi hao walitangaza habari hiyo kwa furaha kupitia mitandao...