Wakazi wa Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza na maeneo ya jirani wamekumbwa na mshangao mara baada ya kuibuka kwa kipande cha ardhi katika Ziwa Victoria kinachokadiriwa kuwa na ukubwa wa zaidi ya Ekari 12 kikiwa hakijulikani asili yake huku mamia ya watu kutoka maeneo mbalimbali wakijitokeza...