Advertise here

bwakila

  1. Kasomi

    Mfahamu Musa Mahenge ambae huigiza kama Kitale, Mkude Simba na Bwakila

    Musa Mahenge amekuwa akiigiza kama Kitale, Mkude Simba na Bwakila na kufanya watu wajue huyo ni mtu mmoja. Historia yake Musa Yusuph Mahenge (amezaliwa Manzese, Dar es Salaam, 30 Disemba 1986) ni mwigizaji, mwongozaji na mwandishi wa filamu kutoka nchini Tanzania. Anafahamika zaidi kwa uhusika...
Back
Top