HABARI Mtu mmoja anayedaiwa kuwa mwanafunzi wa Chuo cha Biashara (CBE) kampasi ya Mbeya, Tido Kadaga amekutwa amefariki dunia kwenye dimbwi la maji katika mtaa wa Maili tano, Kata ya Iganzo Jijini Mbeya.
Tukio hilo limetokeo leo Februari 17,2026 baada ya baadhi ya mashuhuda na wasamiria wema...
Programmes offered by Institution
SNP, rogramme Name and Level
1. Human Resource ManagementNTA 4-6
2. Records, Archives and Information ManagementNTA 4-6
3. Banking and FinanceNTA 4-6
4. Accountancy and TaxationNTA 4-6
5. Marketing in Tourism and Event ManagementNTA 4-6
6 Logistics and...
CHINESE AMBASSADOR STRENGTHENS TIES WITH CBE DURING RECENT VISIT
The Ambassador of the People's Republic of China to Tanzania, H.E. Chen Mingjian, visited the College of Business Education (CBE), Dar es Salaam Campus, where she observed and was briefed on how the college conducts its...
Jeshi la Polisi limemkamata, Joseph Mzava (19) mkazi wa Kinondoni Dar es Salaam, mwanafunzi wa mwaka wa kwanza Chuo cha Elimu Ya Biachara (CBE) Tawi la Dar es salaam, kwa tuhuma za kujinasabisha kuwa yeye ni Rais Mstaafu Jakaya Kikwete na kufanikiwa kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu...
Mkuu wa Chuo cha Elimu Ya Biashara (CBE) Profesa Emmanuel Mjema Ameyasema hayo katika Mahafali yaliyo fanyika katika chuo hicho Tawi la Mbeya.
Tazama Hapa
Habari Wana JT. Huu ni uzi Maalumu Kwa Ajili ya Wana CBE.
Nembo ya chuo
About College of Business Education
The College History in brief.
The origin of the College of Business Education (CBE) is closely linked to the history of the Nation itself. It was soon after Independence on 9th...
Leo 27/04/2022 Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Prof. Emanuel Mjema amekutana na Bi. Lilian Secelela Madeje ambae ni Mwasisi na Mkurugenzi Mtendaji wa Niajiri Platform LTD na kutia Saini Mkataba wa Makubaliano (MOU) ya Ushirikiano baina ya CBE na Niajiri.
Bi. Secelela alisema "Niajiri...
Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Prof. Emanuel Mjema amefanya mazungumzo na Wahandiri wa Chuo cha Maria Curie-Skłodowska University (UMCS) kutoka nchini Poland Prof. Pawel Pasierbiak, Prof. Mariusz Kicia, Dr. Jakub Czerniak na Dr. Konrad Czernichowski. Mazungumzo hayo yalilenga...