Advertise here

chemical

  1. Kasomi

    Claudia Lubao Maarufu kama Chemical Atunukiwa Shahada ya Uzamivu (PhD)

    Claudia Lubao Maarufu kama Chemical ambaye ni Msanii pamoja na Staa wa Rap kutoka nchini Tanzania, Jana April 30,2025 ameweka wazi kuhusiana na Historia ya Maisha yake Kwa kufanikiwa kupata (PhD) ya uzamivu baada ya kufaulu mtihani wake wa mwisho kwenye masuala ya sanaa Hivyo kwasasa Claudia...
Back
Top