Advertise here

cyber champions 2025

  1. Kasomi

    UDOM yaongoza Cyber Champions 2025/26 Kitaifa

    Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimeibuka mshindi wa jumla katika shindano la Cyber Champions 2025/26, lililoratibiwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), baada ya kutoa washindi wote wanne wa kitaifa katika mashindano hayo yaliyohusisha wanafunzi kutoka vyuo 29 nchini. Washindi hao kutoka...
  2. Kasomi

    UDOM, IAA na RUCU Vinara wa Cyberchampions

    Vijana wanne kati ya 600 wameibuka Washindi wa Shindano la “CyberChampions” lililoandaliwa na kuratibiwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) (@tcra_tanzania), likihusisha Vyuo zaidi ya 40 kutoka Taasisi mbalimbali za elimu ya juu Nchini. Washindi hao ni Amani Nsemwa kutoka Chuo Kikuu...
Back
Top