Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimeibuka mshindi wa jumla katika shindano la Cyber Champions 2025/26, lililoratibiwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), baada ya kutoa washindi wote wanne wa kitaifa katika mashindano hayo yaliyohusisha wanafunzi kutoka vyuo 29 nchini.
Washindi hao kutoka...
Chuo Kikuu cha Dodoma kimeibuka Mshindi wa Kwanza katika Shindano la Tano la Usalama Mtandaoni 2023/24 "Cyber Champions", linaloratibiwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA).Shindano hilo lilijumuisha washiriki 705 kutoka vyuo 41 vya taasisi za Elimu ya Juu nchini, ambapo kati ya washiriki...