darasa

  1. Kasomi

    Matokeo ya Darasa la Nne 2025/2026 (SFNA Results) Tazama Hapa

    Matokeo ya Darasa la Nne 2025/2026 (SFNA Results) Tazama Hapa Baraza la Mtihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Nne (SFNA 2025) Tathmini ya Kitaifa ya Darasa la Nne (SFNA) ni tathmini kamilifu ya kitaifa iliyoundwa kutathmini maendeleo ya ujifunzaji...
  2. Kasomi

    NECTA: Matokeo ya Darasa la Saba 2025 yatangazwa

    Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania Prof. Said A. Mohamed ametangaza matokeo ya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi 2025 leo tarehe 5 Novemba, 2025 Jijini Dar es Salaam. Matokeo yanaonesha jumla ya watahiniwa 937,581 sawa na asilimia 81.80 ya watahiniwa 1,146,164 wenye matokeo...
  3. Kasomi

    Ratiba ya Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Nne 2025

    Zaidi ya wanafunzi 1,500,000 kufanya Mtihani wa Darasa la Nne 2025
  4. Kasomi

    Mikoa 10 Bora Matokeo ya Darasa la Saba 2022

    1. Dar es Salaam 2. Iringa 3. Mbeya 4. Arusha 5. Njombe 6. Kilimanjaro 7. Katavi 8. Lindi 9. Simiyu 10. Pwani Mikoa ya Lindi, Mara na Dodoma, Imetajwa kuongoza mara katika miaka 3 mfululizo.
Back
Top