MICHEZO: Lionel Messi na Luis Suárez wamethibitisha kuanzisha klabu yao inayoitwa Deportivo LSM, timu hiyo itaanza kushiriki mashindano katika daraja la nne nchini Uruguay.
Nembo ya klabu ya LSM inaunganisha chapa binafsi za majina ya nyota hao wawili.
Suarez alitangaza siku ya Jumanne kwamba...