VILABU VYA KIDIJITI
Vilabu vya kidijiti ni vikundi vya Wanafunzi vya uhamasishaji wa masuala ya Kidijiti vilivyoanzishwa katika taasisi za elimu kwa lengo la kushirikishana ujuzi wa masuala ya kidijiti kwa wanafunzi na kuunda majukwaa ya kujengeana uwezo.
Huundwa na wanafunzi wasiopungua wawili...
Vijana wanne kati ya 600 wameibuka Washindi wa Shindano la “CyberChampions” lililoandaliwa na kuratibiwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) (@tcra_tanzania), likihusisha Vyuo zaidi ya 40 kutoka Taasisi mbalimbali za elimu ya juu Nchini.
Washindi hao ni Amani Nsemwa kutoka Chuo Kikuu...
amani nsemwa
cyber champions 2025
cyber security awareness
cyberchampions
digitalclubs
iaa
john mange
julius mpagama
klabu za kidijiti
klabuzakidijiti
rucu
tcra
tzcert
udom