Ujumbe unaotoweka ni kipengele cha hiari ambacho unaweza kukiwasha kwa ajili ya faragha zaidi.
Unapowasha ujumbe unaotoweka, unaweza kuweka ujumbe utoweke baada ya saa 24, siku 7 au siku 90 baada ya muda ulipotumwa. Uteuzi wa hivi karibuni unadhibiti tu ujumbe mpya kwenye soga. Mipangilio hii...