JINSI YA KUISHI MNAPOKUWA NA MUHUSIANO YA MBALI.
Kiuhalisia hakuna anayependa kuishi na mwenzi wake mbali mbali, mnapokuwa kwenye mahusino ni muhimu mkawa pamoja, lakini kuna muda inatokea maisha yanawatenganisha kwa muda, katika hali hii ni nini mnatakiwa kufanya ili mahusiano yenu yadumu...