Anaitwa Dr. Martin Julius Chegere, ni mmoja kati ya watanzania wachache waliopata nafasi ya kupata Ph.D wakiwa na umri mdogo sana. Chegere katunukiwa Ph.D ya uchumi tarehe 23 ya mei 2017 katika chuo kikuu cha Gothenburg katika shule ya biashara huko nchini Sweden.
Pia ni TO (Tanzania One) wa...