Kampuni ya META inayomilikiwa na Bilionea Mark Zuckerberg imewafuta kazi wafanyakazi wake ishirini kwa kosa la kuvujisha taarifa za siri za kampuni hiyo.
''Tunawaambia wafanyakazi wetu pindi wanapokuja kujiunga na kampuni hii na kuwakumbusha mara kwa mara kwamba ni kinyume na sera za kampuni...