Advertise here

emmanuel nchimbi

  1. Kasomi

    Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, Atangaza kujiuzulu

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo na kustaafu siasa pamoja na utumishi wa umma. Katika taarifa yake kwa umma iliyotolewa leo, Dkt. Nchimbi amesema amemuandikia barua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt...
Back
Top